Profile PictureRichstar

Mafunzo ya Adobe After Effects I

$8.65
0 ratings

Ni mafunzo maalumu ya jinsi ya kutumia Adobe After Effects katika Kazi za Graphics design. Mafunzo haya yapo katika Video zilizoandaliwa katika mtililiko sahihi ili kumsaidia mtu yeyote hasa wale wanao anza kabisa Kujifunza graphics design, Lakini pia hata wale walio kwisha anza kuifahamu hii pia zitakusaidia zaidi katika kuongeza ujuzi na maarifa mapya. Mafunzo ya Adobe After Effects Package Hii ndani yake ina Zaidi ya Videos 25, za lugha ya kiswahili Files zilizofundishia zipo ndani yake Muongozo wa kujifunza zaidi kupitia Videos

Add to cart

Videos, Projects files and etc.

Copy product URL
$8.65

Mafunzo ya Adobe After Effects I

0 ratings
Add to cart