Profile PictureRichstar

Mafunzo ya Adobe Photoshop

$8.65
0 ratings

Ni mafunzo maalumu ya jinsi ya kutumia Adobe Photoshop katika Kazi za Graphics design. Mafunzo haya yapo katika Video zilizoandaliwa katika mtililiko sahihi ili kumsaidia mtu yeyote hasa wale wanao anza kabisa Kujifunza graphics design, Lakini pia hata wale walio kwisha anza kuifahamu hii pia zitakusaidia zaidi katika kuongeza ujuzi na maarifa mapya. Mafunzo ya Adobe Photoshop. Package Hii ndani yake ina Zaidi ya Videos 55, za lugha ya kiswahili Files zilizofundishia zipo ndani yake Muongozo wa kujifunza zaidi kupitia Videos

Add to cart

Video tutorials, Project files

Size
2.37 GB
Copy product URL
$8.65

Mafunzo ya Adobe Photoshop

0 ratings
Add to cart