Mafunzo ya Adobe Illustrator

$8.65
0 ratings

Ni mafunzo maalumu ya jinsi ya kutumia Adobe Illustrator katika Kazi za Graphics design. Mafunzo haya yapo katika Video zilizoandaliwa katika mtililiko sahihi ili kumsaidia mtu yeyote hasa wale wanao anza kabisa Kujifunza graphics design, Lakini pia hata wale walio kwisha anza kuifahamu hii pia zitakusaidia zaidi katika kuongeza ujuzi na maarifa mapya. Mafunzo ya Adobe Illustrator DVD Hii ndani yake ina Zaidi ya Videos 35, za lugha ya kiswahili Files zilizofundishia zipo ndani yake Muongozo wa kujifunza zaidi kupitia Videos

I want this!

Mafunzo ya Kutumia Adobe Illustrator kwa lugha ya Kiswahili

$8.65

Mafunzo ya Adobe Illustrator

0 ratings
I want this!