$8.65

Mafunzo ya Adobe Premiere Pro

I want this!

Mafunzo ya Adobe Premiere Pro

$8.65

Adobe Premiere Pro ni program bora zaidi kwa ajiri ya ku edit video, Premiere Pro ina tools nyingi sana unazotakiwa kuzifahamu ili uweze ku edit video katika Ubora unao stahili

Ndio maana nimeamua kuleta kifurushi hiki cha mafunzo ya Adobe Premiere Pro

Package ina Vitu vifuatavyo 42+ Tutorials kwa lugha ya Kiswahili 15+ LUTS Presents za Premiere Pro Training ya Videos ujumla wa zaidi ya 360Minutes (Masaa 6)

I want this!

Videos, Project Files, LUT

Copy product URL