Mafunzo ya Adobe InDesign

$8.65
0 ratings

Ni mafunzo maalumu ya jinsi ya kutumia Adobe InDesign CC katika Kazi za Graphics design. Mafunzo haya yapo katika Video zilizoandaliwa katika mtililiko sahihi ili kumsaidia mtu yeyote hasa wale wanao anza kabisa Kujifunza graphics design, Lakini pia hata wale walio kwisha anza kuifahamu hii pia zitakusaidia zaidi katika kuongeza ujuzi na maarifa mapya.

Package hii ndani yake ina Zaidi ya Videos 55, za lugha ya kiswahili Files zilizofundishia zipo ndani yake Muongozo wa kujifunza zaidi kupitia Video

I want this!
$8.65

Mafunzo ya Adobe InDesign

0 ratings
I want this!