$12.94

Mafunzo ya Autodesk 3DS Max

I want this!

Mafunzo ya Autodesk 3DS Max

$12.94

Kuongeza ujuzi wa 3D katika kazi zako za Graphics huwa sio jambo rahisi. Ndiyo sababu nimekuletea Tutorials zitakazokufunza na kukuonyesha nguvu iliopo katika 3ds max tunapofanya kazi za 3D, iwe vizual ama motion design. Uwe beginner ama unayefahamu ila unataka kuongeza ujuzi basi hii ni sahihi kwako. Kozi hii iliojitosheleza itakufundisha kila kitu unachopaswa kufahamu ili uwe mjuzi katika 3D.

I want this!

32+ Videos, 10+ Project Files, Assets etc.

Copy product URL